current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Zichune lyrics
Zichune lyrics
turnover time:2025-01-01 12:36:43
Zichune lyrics

Hahaha acha aisee, sheesh!

Vicky pon dis (yeah aii ah-ah)

Wooza

See your smile (ooh wee ooh)

See your body, hips don't lie

Why you fine though?

Now am on your case, now see my life

[Jovial]

See that smile, ooh wee ooh

See that body, hips don't lie

Am so fine now

Now you on my case, now see your life

Nimeiacha namba yako

Mi na me naam kupigia

Nawe acha pupa yako

Nipe muda nifikirie

'Shangaa iPhone X unadai bado

Trip ya Paris unasema bado

Begi la Channel unadai bado

Unanikomoa mama hadi bando

Niambie mama, utakalo sawa

Niambie mama, usemalo sawa

Coz am so in love mama, utakalo sawa

Niambie mama, usemalo sawa

Zichune...

Ooh eeh, basi nikomoe unimalize

Zichune...

Alright, basi nifilisi unimalize

Zichune...

Aaah-aah, basi nikomoe unimalize

Zichune...

Alright, basi nifilisi unimalize

Eeh, ooyaah

Eeh, ooyaah

[Jovial]

I know what I got

To make you fall in love with me

I know you don't love me

I know you just want to tap it

Baba we,

Mapenzi shamba uyapande

Uyavune, eeh bwana wee

Mapenzi kulisha na unilishe

Acha!

Sema we ni poko (poko), poko, poko (poko), nyoko

Kama mzigo uko soko (soko), soko, soko (soko), soko

Sema acha longo longo

Nisije regret (nyoo), nisije regret

Acha fuka fuko, foko, foko, foko

Lazima atoboke mitoboko, boko, boko, boko

Mwenyewe umejaa kwenye mboko

Mboko, mboko, mboko (aah...sawa pole mama)

Niambie mama, utakalo sawa

Niambie mama, usemalo sawa

Coz am so in love mama, utakalo sawa

Niambie mama, usemalo sawa

Zichune...

Ooh eeh, basi nikomoe unimalize

Zichune...

Alright, basi nifilisi unimalize

Zichune...

Aaah-aah, basi nikomoe unimalize

Zichune...

Alright, basi nifilisi unimalize

Tena nifilisi unimalize mama

Mmmh na hii...

Basi, tena danguro

Danguro aah, Danguro, nidondoe

Danguro, cougar danguro wewe

Danguro, basi nidondoe eeh

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Otile Brown
  • country:Kenya
  • Languages:English, Swahili
Otile Brown
Otile Brown Lyrics
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved