Ayolizer
Wasafi Records!
Baby mooh
Nifanye Big G unitafune
Ama niwe sindano
Nawe uwe uzi nguo nifume
Ama niwe ndoo
Uwe maji yangu unawanume
Nifanye kucha
Kama ukiwasha mi nikukune
Sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikiku beepu
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila siku
Shika ufunguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta zezeta
Niko ladhi nifunge ule wewe
Mimi zezeta zezeta
Au unataka hati nyumba ya baba yangu
Kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwehu
Mimi zezeta zezeta
Mama sitaki paka na panya vita za nyingi
Mi nataka niwe mafuta
Ujipakaze kote mwilini eeh
Ama niwe taulo kanga laini
Ukioga ninakufuta
Kutoka juu mpaka kwa chini, mashallah
Ulivyo mwenzako taabani
Naishi muchumba siendi varandani
Tena sikufanyi vocha soko dukani
Nikutumie muchumba nikutupe jaralani
Sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikikubeepu
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila siku
Shika ufunguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta zezeta
Niko ladhi nifunge ule wewe
Mimi zezeta zezeta
Au unataka hati nyumba ya baba yangu
Kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwehu
Mimi zezeta zezeta
Mashilawadu, wana nyapia nyapia
Mashilawadu, wana nyatia nyatia
Mashilawadu, wapate kutangazia
Mashilawadu, kuwa makini mama
Mashilawadu, kwa kudandia dandia
Mashilawadu, vya watu kupagazia
Mashilawadu, macho funika pazia
Mashilawadu, kuwa makini mama eeh eeh