current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Zaidi lyrics
Zaidi lyrics
turnover timeļ¼š2024-09-29 18:27:20
Zaidi lyrics

Zinanikota goosebumps nikisikia jina lako

Me ninaweuka kabisa me ni chizi wako

Nakama ni mganga eeh, mzuri huyu mganga wako

Sio kwakunipumbaza hukuu baby mmmh

Mummy ongeza ubuyu nizidi ku umumnya eeh

Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh

Baby ongeza ubuyu nizidi ku umumunya eeeh

Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh mmh

Kama ni pilipili maaa

Acha ukali me niusikie

Kama ni vita mama

Acha adui wanivamie

Kama we ni asali maaa

Acha na nyuki wanivamie

Lakini penzi lako baby

Hata kidogo lisipungue

No, no, nooo...

Zaidi, zaidi, zaidi, zaidi mmmh

Nipe nipe zaidi, zaidi, zaidi

Wewee zaidi, zaidi, zaidi

Wewe nipe zaidi, zaidi, zaidi

Aiyaiyayayaaaaa aaah

Aiyaiyayayaaaaa aaah

Nayosha mikono juu kwako me nime-surrender

Naona maajabu sungura Kazidiwa ujanjaa

Nimekua zuzu zu zu zu zu

Nimekua bubu bu bu bu

Nimekua mbumbu mbum bu baby eeh

Nimekua zaidi ya nyumbu

Sioni sisikii

Sioni sisikii baby

Kama ni pilipili maaa

Acha ukali me niusikie

Kama ni vita mama

Acha adui wanivamie

Kama we ni asali maaa

Acha na nyuki wanivamie

Lakini penzi lako baby

Hata kidogo lisipungue

No, no, nooo...

Zaidi, zaidi, zaidi, zaidi mmmh

Nipe nipe zaidi, zaidi, zaidi

Wewee zaidi, zaidi, zaidi

Wewe nipe zaidi, zaidi, zaidi

Aiyaiyayayaaaaa aaah

Aiyaiyayayaaaaa aaah

Mummy ongeza ubuyu

Nizidi ku umumunya eeh

Tena na sukari guru

Utamu nikitafuna eeeh

Baby ongeza ubuyu

Nizidi ku umumunya eeh

Tena na sukari guru

Utamu nikitafuna eeh hmm

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by