current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Vigelegele lyrics
Vigelegele lyrics
turnover timeļ¼š2024-09-28 11:11:59
Vigelegele lyrics

uhuhu willy willy willy msafi

Noma moto ngoma noma yani kali

msela kali ngoma noma mhh(teddy b)

aa nana nanananana nananaaii nanananai

(wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali 2)

(vigele5)

(vigele5)

nakuonya we nyambura usijaribu nikaribia

ata na wewe anyango

nimeshaonyeshwa nia yako

(wataka kuniweka chini

futi kumi na mbili

nimekosa nini2)

mapenzi yangu ni ya mwenyezi

noma ngoma noma

yani kali msela kali

ngoma noma noma sana(lego)

aa nanananai nananai

nanananai nanananai

(wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali2)

(vigelege5)

(vigelege5)

mi awilly a awilly

nimekosa nini a awilly

simuniwachane a awilly

nimusifu Mungu a awilly

ye ndiye baba a awilly

(ziing)mwanisema mimi i

nimekosa nini i

mwataka kuniweka chini i

futi kumi na mbili i

nimekosa nini i

mapenzi yangu ni ya mwenyezi

noma ngoma noma yani kali

msela kali ngoma noma noma sana leego

nana nananai nananai

nanananai nananai

(wacha nisifu baba

nimwabudu nani jalali2)

(vigelege5)

(vigelege5)

mhhhh kwa masela wote wanapendamola

nipe mikono juu tumsifu mola

tusifu sana mhhh

noma ngoma noma

yaani moto ya zambe

noma ngoma noma

yani noma noma sana msela kali ngoma kali aha oho aha aha

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by