current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Utaniua lyrics
Utaniua lyrics
turnover timeļ¼š2024-09-29 18:23:59
Utaniua lyrics

Iyeeeeei, iyeeeeeiiye, iyeeeeei

Imekua asubuhi

Uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka

Nami sitaki

Kufagia upendo uende

Nina jua yangu roho

Ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e

Ndio maana ukiwa tofauti baby

Unaniumiza ndani ndani (iyee)

Bado najiuliza ni kipi sijatimiza

Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza

Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby

Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haaa)

Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haaa)

Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haaa)

Hey!

Utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

My baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

Ooh utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

Ooh baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

Utaniua ua...

Nilijichangachanga ilimradi upendeze (ha)

Nikajibanabana ilinisijikweze (ha)

Sikutaka kugombana nikupoteze baby

Ilimradi niwe na wewe

Kibaya zaidi (naumia na upendo wako my love)

Ulisema mpaka kifo mama (ha)

tungelizikwa wote, (tungelifa wote)

Ila unanikatisha tamaa (ha)

mimi sitaki uende

Bado najiuliza ni kipi sijatimiza

Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza

Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby

Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haaa)

Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haaa)

Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haaa)

Hey!

Utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

My baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

Ooh utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

Ooh baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

Utaniua ua...

(We mama wee) unaniua ua

(We mama wee) unaniua ua

(We mama wee) unaniua ua

(We mama wee) unaniua ua

Unaniua ua (haaaha) hey (haaaha)

Oh baby unaniua ua (haaaha)

Wewe unaniua ua (haaaha) heiyeiye (haaaha)

Unaniua ua (haaaha) mh-hei (haaaha)

Unaniua ua

You love is the one

You love is the one

You love is the one

I want your love

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by