current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Tulale Fofofo lyrics
Tulale Fofofo lyrics
turnover time:2025-01-13 03:05:24
Tulale Fofofo lyrics

Look to the sky, I'm way up (Way up)

Way up (Way up)

Time of my life, never get enough, can't get enough

I'm feeling the way that the music be talking (talking to me)

Straight to the body I'm moving no stopping (Can't you see)

One thing on my mind, Turn this song up (All the way up)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Tulewe ndindi, tucheze chini chini

Tuende nyumbani, tulale fofofo

Tulewe ndindi, tucheze chini chini

Tuende nyumbani, tulale fofofo

Look into my eyes girl, what's up what's up baby

Love of my La... La.La. life, what's up what's up sweety

Juu mi ni mtu ya ingho, hapa naleta maringo

Kama, baby uko single

Si mi na wewe tumingle (ayaya)

Juu mi ni mtu ya ingho, hapa naleta maringo

Kama, baby uko single

Si mi na wewe tumingle

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Tulewe ndindi, tucheze chini chini

Tuende nyumbani, tulale fofofo

Tulewe ndindi, tucheze chini chini

Tuende nyumbani, tulale fofofo

Kama unanipenda, Kama unanipenda

Oya baby shuka, Shuka chini, shuka

Nakupenda, kama unanipenda

Oya baby shuka, Shuka chini, shuka

Kama unanipenda, Kama unanipenda

Oya baby shuka (Shuka baby), Shuka chini, shuka (Shuka baby)

Nakupenda, kama unanipenda

Oya baby shuka(Shuka), Shuka chini, shuka(Shuka baby)

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Sauti Sol
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:http://sauti-sol.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Sauti_Sol
Sauti Sol
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved