Basi gusa changu kiuno
Nami nitulie
Bila mfupa Nnavyokata
Lazima usimulie
Weka nukta shika hapa
Na mimi niugulie
Kama Guta sema popote
Mwenzako niikalie
Naitakasa nafsi na roho darling
We ndoo yangu khabari
Kwa wengine sina Habari
Umenionjesha asali
Nimewaka ka kibatali
Uno hadi juu ya dali
Niongoze nkuhonge ka gari
Kandamiza huo msumari
Me napenda ukinishikagaa (enhee)
Unanitouch touch touch (enhee)
Unanimaliza (enhee)
Sema nikushike wapi enhee)
Me napenda ukinishikagaa (enhee)
Unanitouch touch touch (enhee)
Unanimaliza (enhee)
Sema nikushike wapi enhee)
Kwako nimekuwa Zuzu
Tena siwezi ganduka
Sijui umenipa juju
Nikikuona napandwa mizuka
Me nasema waziwazi
Mwenye wake aje amchukue
Utamu wa wali nazi
Nasema vya ndani usisimulie
Meli imeweka nanga
Me ndio wake mahabuba
SIendi kwa mganga
Sijawahi kumloga
Naitakasa nafsi na roho darling
We ndo yangu khabari
Kwa wengine sina Habari
Umenionjesha asali
Nimewaka ka kibatali
Uno hadi juu ya dali
Niongoze nkuhonge ka gari
Kandamiza huo msumari
Me napenda ukinishikagaa (enhee)
Unanitouch touch touch (enhee)
Unanimaliza (enhee)
Sema nikushike wapi enhee)
Me napenda ukinishikagaa (enhee)
Unanitouch touch touch (enhee)
Unanimaliza (enhee)
Sema nikushike wapi enhee)
Baby Uutamu kolea (Utamu)
Utamu kolea (Nimenogewa)
Uutamu kolea (Yani tama sana)
Utamu kolea
Hasa baby niongeze (Utamu kolea)
Nishike na hapa (Utamu kolea)
Na kajicho nilegeze (Utamu kolea)
Nikanyage kama rapa (Utamu kolea)