Aaah Ssshhh!
Ratata Tatata!
Aaah! Aaah! Aaah! Haaa!
Tawire! (Surprise)
Tawire! Tawire!
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Mganga tawire
Wanakuvuta (eh), kila unapotafuta
Ukizikuta (eh), wanazingira ukuta
Ata uwe na guta (eh), akili zinawaruka
Wanaroga duka (eh), mpaka banda la sambusa
Wanapiga manyanga (eh)
Usijenge ubaki kupanga
Wanachanganya waganga (eh)
Wa Pemba, Tanga, Sumba, Wanga
Makili kili na ma fili fili
Tunayakemea yapotee, Amina!
Madili dili mwana mbili mbili
Na mitonyo yote ilegee, Amina!
Wamekalia migoda
Wanataka kukuroga
Wachawi dumba watangoja
Weka Mungu kwako uwe namba moja
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Mganga tawire
Wanakatisha tamaa, watakupa ukichaa
Wanafelisha ukiwakalisha ndo wanazidi kushagaa
Kila kona kila baa
Kila toto ya mtaa
Ukifanikiwa walokubania
Wanabaki wakishangaa
Unaomba afukuzwe kazi
We ukapandishwe ngazi
Kisa mapenzi unataka mwenzio
Aachwe unavunja nazi
(Kisa mapenzi unataka mwenzio
Aachwe unavunja nazi)
Wamekalia vigoda
Wanataka kukuroga
Wachawi dumba watangoja
Weka Mungu kwako awe namba moja
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Mganga tawire
(Hallo simu ilikata)
Hallo babu, basi ndo hivyo
Maana miaka kumi sasa
Anakwenda anarudi
Mimi nachotaka ni kitu kimoja tu
Ikiwezekana familia yake yote inipende
Nipate nyumba na ndoa pia
Niwache kwa kuzalilika Insta
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Tawire, Tawire
Mganga tawire