Eh, best city boy
Ray V, Vanny boy
Ayolizer, can you lize it up a little bit?
Uh, yeah, bet you never saw this one coming
Kama zidani mprira iko gambani
Vile nawabana kapacha daga kwa Pani
Namwamini mungu funga virago shetani
Ndiyo makini akiwa mweusi baraka tumwite nani
Kwenye binti nateleza
Japo sijasoma nachana hadi kiingereza
Good morning, how are you
Men that's simple
You do it for your own but I do it for my people
Nishataambika, wala sikusikika
Wakalashika sahani nikakosa ningepika
Sasa mambo yamejipa, kila kitu uakika
Nanenepa wasafi kupiga sauti unatifa
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu, sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu, sugu sugu sugu
Naitwa Rayvannyboy V Vanny langu jina
Kinyango toka mbeya siyo toy la kichina
Sijatoboa sikio sinywi piko Wala in
Tattoo ya kazi gani ngozi itaisha Zima
Visilani, walokesha kupigapini
Hawaamini nikipelita wanaomba picha na mimi
Zamani madem walinipiga chini
Saizi wananisumbua wao, 'Ray jibu langu lini'
Heshima kwa watabiri walosema nitafeli
Wakaniita bajaji sitopita kwenye reli
Sa mi Wasafii, kuku kapona kidedi
Ukisikia bathday basi tukutane Sheri
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu, sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu, sugu sugu sugu
Niite Raysugu, Sungura mla dubu
Vipi mama wa kambo ona linatema gubu
Mafuta na mashudu, kipi unauusudu
Vunja kibubu isije kuwa mchele ama gubu
Nafurahi kuona matusi ya wanaonipinga
Waloninyima chero pindi napiga mizinga
Sasa nawapa kero, zamu yao kuzinga
Kale kanipa Mila, msishtuke nikivimba
Uswaze, ndiko nakotoka
Sista du onya ukishatoka
Sitakuonga iphoni nitakuonga goroka
Simu ya kitochi ukacheze gemu ya nyoka
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu, sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu (nani)
Wananiita sugu, sugu sugu sugu