current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Sokote lyrics
Sokote lyrics
turnover time:2025-01-04 04:08:44
Sokote lyrics

Fanya kama unacheza, isokote (Chii)

Binyuka binyuka basi, isokote

Fanya kama unacheza, isokote (Chii)

Binyuka binyuka basi, isokote

Binyuka binyuka isokote

Ukipenda Maria nikuhonge mahela mahela

Nipeleke mpera mpera

Maria baby whine kama Vera, Vera, Vera

Nionyeshe makeke

Mi nataka hio dedede

Popote nikukamate

Kwa ulimi nipake mate

Mi nataka leo ujibambe

We songa nikupakate

Fanya kama unacheza, isokote (Chii)

Binyuka binyuka basi, isokote

Fanya kama unacheza, isokote (Chii)

Binyuka binyuka basi, isokote

Tingisha mingaza ukitetemeka

Safisha kiwanja iyo ngoma inatesa

Utaogopa huko ndani ukisema unanyesha

Nipandishe mizuka niongeze mapresha

Baby do me Coconut eeh (Sokote)

Ikune kama nazi eeh (Sokote)

Ikaze kama nati eeh (Sokote)

Sokote sokote sokote sokote

Baby do me Coconut eeh (Sokote)

Ikune kama nazi eeh (Sokote)

Ikaze kama nati eeh (Sokote)

Sokote sokote sokote sokote

Nionyeshe mateso, baby ready

Kwa beddy ka karate, ready ready

Girl girl nipate bedii bedii

Baby ready ready ready ready

Nionyeshe mateso, baby ready (Isokote)

Kwa beddy ka karate, ready ready

Girl girl nipate bedii bedii (Isokote)

Baby ready ready ready ready

Fanya kama unacheza, isokote (Chii)

Binyuka binyuka basi, isokote

Fanya kama unacheza, isokote (Chii)

Binyuka binyuka basi, isokote

Isokote, isokote, isokote, isokote

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Masauti
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
Masauti
Masauti Featuring Lyrics
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved