current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Silent Night! Holy Night! [Swahili translation]
Silent Night! Holy Night! [Swahili translation]
turnover time:2025-04-20 23:29:57
Silent Night! Holy Night! [Swahili translation]

Usiku wa sifa,

wa raha na nuru,

Alipozaliwa Mwana

m-takatifu na mwema,

Mwana ndiye Mungu,

Mwana ndiye Mungu.

Usiku wa sifa,

wachunga bondeni,

Nuru iliwaogofya,

malaika wakaimba,

Kazaliwa Mwana,

Kazaliwa Mwana.

Usiku wa sifa,

neema na amani,

Upendo na ukombozi

umewafikia wote

Kwa Masihi Yesu,

kwa Masihi Yesu.

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Connie Francis
  • country:United States
  • Languages:English, Italian, Spanish, German+6 more, Japanese, French, Neapolitan, Portuguese, Greek, Dutch
  • Genre:Folk, Jazz, Pop, Rock 'n' Roll
  • Official site:http://www.conniefrancis.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Connie_Francis
Connie Francis
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved