Penzi letu litabaki kuwa stori
Sio leo mpaka kesho
Utamu kama limemwagiwa asali
Sio leo mpaka kesho
Maneno neno tuyafanye yawe stori
Sio leo mpaka kesho
Mi nawe hatuachani hasirani
Sio leo mpaka kesho
Nitunzie,
Penzi langu wasidokoe wale
Nihifadhie,
Chakula changu mi nikirudi nile
Kwako mimi ni mpofu siwezi pona
Taabani mi naumwa nina homa
Ukiondoka nitakufa siwezi pona
Mbeiby
Tulipitia visanga
Nyumba zenyewe hizi za kupanga panga
Yale yalikuwa majanga
Mlo mmoja ndani na tuna kichanga
Beiby, sijawahi pendwa hivi
Mimi sijawahi pendwa hivi
Oooh sijawahi pendwa hivi
Mimi sijawahi pendwa hivi
Mmmh sijawahi pendwa hivi
Mmmh sijawahi pendwa hivi
Naapa ooh sijawahi pendwa hivi
Oooh beiby mimi sijawahi pendwa hivi
Cha kushangaza umejaliwa na huringi
Hushindani nao mama huna ligi
Umebarikiwa hilo sipingi
Kama wewe hakuna
We umenitoa chongo
Umenipa michongo
Siongei uwongo huo
Maana hata kabla yako
Alijiweka kando
Hawakujali moyo huo
Mwenzako kwenye mapenzi
Nilikuwaga fala wee (wewe)
Kuumizwa na kutendwa
Kwangu ilikuwa sawa wewe (wewe)
Kwako mimi ni mpofu siwezi pona
Taabani mi naumwa nina homa
Ukiondoka nitakufa siwezi pona
Mbeiby
Tulipitia visanga
Nyumba zenyewe hizi za kupanga panga
Yale yalikuwa majanga
Mlo mmoja ndani na tuna kichanga
Sijawahi pendwa hivi (ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa hivi (ooh sijawahi pendwa)
Oooh sijawahi pendwa hivi (ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa (ooh sijawahi pendwa)
Sijawahi pendwa hivi (ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa hivi (ooh sijawahi pendwa)
Oooh sijawahi pendwa hivi (ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa hivi (ooh sijawahi pendwa)