current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Shout to the Lord [Swahili translation]
Shout to the Lord [Swahili translation]
turnover time:2024-12-23 22:46:44
Shout to the Lord [Swahili translation]

Ee Yesu, Mwokozi,

uu Bwana wewe pekee.

Siku zote

nitasifu,

ajabu ya mapenzi yako.

Hema langu na faraja,

kimbilio la nguvu.

Pumzi yangu na vyote viangu,

vikwabudu milele.

Shangwe kwa Bwana dunia yote,

Enzi na sifa kwake Mfalme

Nchi bahari viinamie

Sauti yako kuu

Sifa kwa kazi ya mkono wako

Nitakupenda milele Bwana

Ahadi zako hazilinganishwi, Kamwe.

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Hillsong United
  • country:Australia
  • Languages:English, Spanish, Tagalog (dialects)
  • Genre:Christian Rock
  • Official site:http://www.hillsongunited.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Hillsong_United_%28band%29
Hillsong United
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved