Follow the music and I'll take you there
Je veux danser mama
Ongayo ngayo ngayo ngayo ngayo mama
Take you down town to disco
Chini kwa chini kiuno
You're my fire, my desire, nakupenda
I wanna see the ladies lose control
So turn around, give it to me
Give it to me baby, passionately
Nalingio mama, wamanya ndakhuyanza
You're my fire, my desire, nakupenda
Shake your bam bam kwenda sukuma
Shake your bam bam kwenda sukuma
Shake your bam bam kwenda sukuma
Shake your bam bam... hapo!
Kaa rada, karau wanapita na bash
Imeshika na drinks zamwagika kaa rada
Samba ni ku samba, samba ni kusamba
Ju madame wa mtaa wanapenda chapaa
Na machali wa mtaa wanapenda kuchana
So unapata mabudah wanasare mamatha
Na mamatha wa mtaa wanakwata vijana
Oh Afrika, Afrika, nakuombea
Watoto wako wasizidi kupotea
Urembo wako usizidi kudidimia, oh yeah
Nalingio mama, wamanya ndakhuyanza
You're my fire, my desire, nakupenda
Shake your bam bam kwenda sukuma
Shake your bam bam kwenda sukuma
Shake your bam bam kwenda sukuma
Shake your bam bam... hapo!