current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Set Me Free [Interlude] lyrics
Set Me Free [Interlude] lyrics
turnover time:2025-01-13 03:24:51
Set Me Free [Interlude] lyrics

Hivi bado nakumbuka

Nikiwa kijana

Ile bangi nilivuta

Pombe nilipewa kwa sana

Na wasichana walinipenda

Wengine walinikataa

Na hapa nilipoamka

Sikulala jana

Napiga densi usiku kucha

Vijana kwa wasichana

Na masiri zilipasuka

Wengi walizaana kwa sana

Na vijana wengi walikopa deni

Wapeleke slayqueen maskani

Wakatoanishwa bila kuonjeshwa

Wasaniii tuliponea

Naomba, naomba nizidi kijana

Naomba, naomba nizidi kijana

Naomba, naomba nizidi kijana

Won't you set me free nizidi kijana

Kaja Facebook kaja Twitter

Kaja pia na Instagram

Wengi walibwaga mioyo

Na picha za kupende sana

Na walitesa tesa

Wazungu wanasemanga

Ati business and pleasure

Inasaidinga wazae kupunguza pressure

Vijana under pressure

Wasanii tuliponea

Naomba, nizidi kijana

Naomba, nizidi kijana

Naomba, nizidi kijana

Won't you set me free nizidi kijana

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Sauti Sol
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:http://sauti-sol.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Sauti_Sol
Sauti Sol
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved