Switch
Money...
God Engineering
S2Keezy, baby
(Hey!)
[Vanessa]
They like huyu dem anapumzi kama uzi
Those haters been mad wamenuna toka juzi
They know that I'm the goat basi tu ni sura mbuzi
Achana nao hao wapuuzi
Tuko juni mula team kama yule mchizi mwenye rasta
Na kama ye mi ni hustla, money first brah fasta
Kama huna tunasema hasta la vista, Joh
You can even ask Cassper!
All my G's on, they've been filling up domes
Way before you even got vids for your first songs
And even if you do, my nigga your flicks wrong
Maana nikidrop yangu, mwanangu your shits gone
Mpaka pumzi ya mwisho
Nampaka pumzi ya mwisho
(I'm on the grind all the time, I'mma do it)

Mpaka pumzi ya mwisho (I'm on the grind)
Mpaka pumzi ya mwisho
Mpaka pumzi ya mwisho
Nampaka... pumzi ya mwisho
[Joh Makini]
Hey Cwala Lapho (yes!), I'm looking for success
Motivated and dedicatel until my last breath
I was born normal, life made me a hot mess
Now the only time I'm happy is when haters is upset, heh ftsek!!
See we all got problems, we all got pain
Some people give up but I'm not like them no
I'ma spinner a king, a bread winner you see
I think we all got greatness buried within us
Ngithi get up, get up, get up!! And go get it!
See even if I died, I know my name won't perish
Cause everywhere I go I being light and hope
See I'm a man of the people, that's just my approach
Mpaka pumzi ya mwisho
Nampaka pumzi ya mwisho
(I'm on the grind all the time, I'mma do it)
Mpaka pumzi ya mwisho
Mpaka pumzi ya mwisho
(I'm on the grind all the time, I'mma do it)
Mpaka pumzi ya mwisho
Mpaka pumzi ya mwisho
(I'm on the grind all the time, I'mma do it)
Mpaka pumzi ya mwisho
Nampaka pumzi ya mwisho
Mpaka pumzi ya mwisho (I'm on the grind)
Mpaka pumzi ya mwisho
Nampaka pumzi ya mwisho
Nampaka... pumzi ya mwisho
[Casper Nyovest]
Hey! rep my city, rep a city, nigga I'm going hard
Hamna siri mtazikiri, am about to blow up
Kati ya miba na mbigiri Joh natoboa
Sala zangu mi ndio shoka nishazinoa
Na flow ni mubaraka mwinshehe, hey hey hey hey
Hawa madogoo siwaachi game wachezee, hey hey hey hey
Na hili jando misipeleki wazee, hey hey hey hey
Na hili jando misipeleki wazee, hey hey hey hey
Hey watu fisi hawana peace wana madoa
Mziki kwangu si ngono nitendo la ndoa
Maisha moto dar ni joto bado napoa
Let me cele-celebrate, let me party nyota
Mi nitokano, nishang'ara
Don't tell this motherfuckers am the illest, they know me...