Konde Boy!
I want to keep you, I no got let you
Nishafunga na zipu, kwingine nishasema no
Acha nikusifu, uzuri wa nyumba choo
Naulivyo nadhifu, sipati vidonda vya koo
If you leave me I go die
I go die my baby
Na ukinipenda nitajidai
Nitajidai my baby
Oooh, nakoma na zako
Kachiri kachiri, ukibinuka binuka
Eeeh, kivumbi na jasho
Wawili wawili, kwenye mashuka mashuka
Asa baby, niite (uniteke, unitekenye)
Nicheke kama mtoto (uniteke, aaah baby nitekenye)
Apo ndo penye (uniteke, unitekenye)
Ninenepe kama mpoto, nooo (uniteke, aaah baby nitekenye)
Macho yake lungu lungu akinitazama
Nami nageuka nungu nungu, miiba inasimama
Macho yake lungu lungu akinitazama
Nami nageuka nungu nungu, miiba inasimama
Eeh fanya wazi unachotaka
Zidisha kunipenda
Ila kuna paparazzi na Basata
Tusichapane madenda
Oooh, nakoma na zako
Kachiri kachiri, ukibinuka binuka
Eeeh, kivumbi na jasho
Wawili wawili, kwenye mashuka mashuka
Asa baby, niite (uniteke, unitekenye)
Nicheke kama mtoto (uniteke, aaah baby nitekenye)
Apo ndo penye (uniteke, unitekenye)
Ninenepe kama mpoto, nooo (uniteke, aaah baby nitekenye)
Asa baby, mi nataka nikukande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Yaani pinda nikukande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Unishikilie, nami nikugande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Aah pinda pinda mgongo,
Ebu nipe nikukande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Yaani nikukandeee...(chii chii)