current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Nipe Nikupe lyrics
Nipe Nikupe lyrics
turnover time:2025-04-19 10:44:13
Nipe Nikupe lyrics

Hey baby, nataka nikupende mama

Vile ninavyokupenda nataka unipende

Ni mapenzi ya nipe nikupe

Darling, nataka nikupende ie

Vile ninavyokupenda nataka unipende

Ni mapenzi ya nipe nikupe

Ni mapenzi ya nipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupe

Nipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Unipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Unipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Hey baby, nataka nikupende mama

Vile ninavyokupenda nataka unipende

Ni mapenzi ya nipe nikupe

Darling, nataka nikupende ie

Vile ninavyokupenda nataka unipende

Ni mapenzi ya nipe nikupe

Ni mapenzi ya nipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupe

Nipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Unipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Unipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Hey baby (my baby, my baby, my baby, my baby)

Nataka nikupende mama (nataka nikupende, mama!)

Vile ninavyokupenda nataka unipende

Ni mapenzi ya nipe nikupe (mama, my darling...)

Nataka nikupende ie

Vile ninavyokupenda nataka unipende

Ni mapenzi ya nipe nikupe

Ni mapenzi ya nipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupe

Nipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Unipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Unipe nikupe, nipe nikupe, nipe nikupee

Sauti Sol...

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Sauti Sol
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:http://sauti-sol.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Sauti_Sol
Sauti Sol
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved