Wasafi!
Mmh (Wasafi Records)
Mmh
Mujini kipenzi silani shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana ah
Ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga aah
Oooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya unipende
Niambie
Tell me baby love
Ooh basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo
Niambie
Ooh basi niambie (ooh basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza roho
Hhhhm, aiy
Siku hizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea Ndumba
Umenipendea rhumba
Vipi nikija kudunda oooh oooh
Usije mgezea Punda
Ukaniachia Ngunga
Wanakumendea Chunga oooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi ya nini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende
Niambie (tell me)
Tell me baby love (tell me)
Ooh basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo (tell me)
Niambie
Ooh Basi niambie (tell me ooh basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza roho
Umenipendea ah (kipi mama)
Pendea ah (basi sema)
Umenipendea ah (umenipenda nini ingali sina doo)
Pendea ah
Umenipendea ah (tell me baby love)
Pendea ah (oh basi niambie)
Umenipendea ah (umenipenda ingali sina yeyeaa)
Pendea ah
Ayo Lizer!
Hehehe, mwendo kasi!