current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Nerea lyrics
Nerea lyrics
turnover time:2025-01-13 03:17:40
Nerea lyrics

Nakuomba Nerea

Usitoe mimba yangu we

Mungu akileta mtoto

Analeta sahani yake

Mlete nitamlea

Usitoe mimba yangu we

Mungu akileta mtoto

Analeta sahani yake

Huenda akawa Obama,

atawale Amerika

Huenda akawa Lupita,

Oscar nazo akashinda

Huenda akawa Wanyama,

acheze soka Uingereza

Huenda akawa Kenyatta,

mwanzilishi wa taifa

Aaah nakuomba Nerea

Usitoe mimba yangu we

Mungu akileta mtoto

Analeta sahani yake

Mlete nitamlea

Usitoe mimba yangu we

Mungu akileta mtoto

Analeta sahani yake

Nitamlea... no no no no

Huenda akawa Maathai,

ayalinde mazingira

Huenda akawa Makeba,

nyimbo nzuri akatunga

Huenda akawa Nyerere,

aongoze Tanzania

Huenda akawa Mandela,

Mkombozi wa Afrika

Aaah, nakuomba Nerea

Usitoe mimba yangu we

Mungu akileta mtoto

Analeta sahani yake

Mlete nitamlea

Usitoe mimba yangu we

Mungu akileta mtoto

Analeta sahani yake

Nakuomba Nerea, Nerea

Nerea, usitoe mimba yangu

Nerea, Nerea

Nerea, usitoe mimba yangu

Huenda akawa Kagame, atawale

Jaramogi Odinga tuungane

Huenda akawa Tom Mboya

Huenda akawa Rudisha

Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia

Huenda akawa, Sauti Sol

Huenda akawa, Amos & Josh

Huenda akawa, yeeeah

Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Sauti Sol
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:http://sauti-sol.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Sauti_Sol
Sauti Sol
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved