Ayolizer
Nina macho lakini sioni
Nina masikio ila kwako sisikii
Sauti yako huniita ndotoni
Na nikipapasa sikuoni
Upo mbali baba eeh (ayayayaya)
Uko mbali sana eeh
Unapokosa kupokeaga simu yangu
Hofu juu
Mwili ganzi inauma na roho yangu
Nahisi upo juu
Upo mbali baba eeh (ayayayaya)
Uko mbali sana eeh
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Kaza moyo univumilie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Yasemwayo usiyasikie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Kaza moyo univumilie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
[Harmonize]
Kwanza ungefanya tambiko
Upige goti usali, nirudi salamaaa
Mmmh, ile safari sio kifo
Ivo so usijali, nitarudi mamaaa
Hihi, tena punguza kulalamika utanitiaga mikosi
Mwenzako bado mambo hayajajipa ila tu kiume na fosi
Ka kuku nasaka nilete (aiyayayaya)
Nami siku nisimame kiwete (aiyayayaya)
Sichoki naongeza juhudi
Kutwa nipo wima
Vimejaaga makusudiii
We niombee uzima
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Kaza moyo univumilie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Yasemwayo usiyasikie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Kaza moyo univumilie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Yasemwayo...)
Kidudu wivu hukaa katikati
Kwenye mapenzi ya dhati
Nafsi tulivu ila moyo wasiwasi
Kifungo kuwacha shati
Hofu walidi likinyauka
Hata kitanda kitolalika
Bora lizidi lisije shuka beiby
Linanikondesha penzi mashaka
Ndo wauma moyo nashika kichwa
Nachoka kulala wika beiby
Unapokosa kupokeaga simu yangu
Hofu juu
Mwili ganzi inauma na roho yangu
Nahisi upo juu
Upo mbali baba eeh (ayayayaya)
Uko mbali sana eeh
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Kaza moyo univumilie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Yasemwayo usiyasikie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Kaza moyo univumilie)
Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby
(Yasemwayo...)
Wasafi!