current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Matatizo lyrics
Matatizo lyrics
turnover time:2024-06-23 16:13:48
Matatizo lyrics

Haiyee aaah!

(Wasafi Records)

Olelelelee

Alfajiri imefika anga inang'aa

Mvua inaanza katika ghafla tumbo la njaa

Naweka sauti kwa spika nipate umbea wa dar

Mara simu inaita, jina la anko twaha

Akisema, mama yu hoi kitandani

Kama si wa leo wa kesho

Na kupona sizani

Upate japo neno la mwisho

Mi ndo mtoto wa pekee

Nyumbani wananitegemea

Mdogo wangu wa kike

Hali duni alishagaolewa

Tizama jasho langu la mnyonge

Kipato hakikidhi mahitaji

Napiga moyo konde

Yarabi mola ndo mpaji, matatizo

Matatizo yatakwisha lini

Matatizo kila siku mimi (ewe mola)

Matatizo yatakwisha lini

Japo likizo, nifurahi na mimi

Mola aliniumba na subira

Imani pekee ngao yangu

Mbona nishasali sana

Ila mambo bado tafalani

Mama kanifunza kikabila

Nikonde sana haini yangu

Tena nijitume sana

Na vya watu nisivitamani

Hata mpenzi niliyenae

Najua siku atanikimbia

Itanitesa ye ndo nguzo

Zile ngoja kesho badae

Atazichoka kuzivumilia

Anakosa hata matunzo

Ona, nadaiwa kodi nilipopanga

Nashinda road nikihanda

Nishapiga hodi kwa waganga

Kwa kuhisi narogwa

Nikauza maji na karanga

Nikawa dobi kwa viwanda

Ila kote ziro ni majanga

Mtindo mmoja

Mi ndo mtoto wa pekee

Nyumbani wananitegemea

Mdogo wangu wa kike

Hali duni alishagaolewa

Tizama jasho langu la mnyonge

Kipato hakikidhi mahitaji

Napiga moyo konde

Yarabi mola ndo mpaji

Matatizo...

Matatizo yatakwisha lini

Matatizo kila siku mimi (ewe mola)

Matatizo yatakwisha lini

Japo likizo, nifurahi na mimi

(Matatizo!)

Matatizo yatakwisha lini

Matatizo kila siku mimi (ewe mola)

Matatizo yatakwisha lini

Japo likizo, nifurahi na mimi

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Harmonize
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:R&B/Soul
Harmonize
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved