current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Jamming [Swahili translation]
Jamming [Swahili translation]
turnover time:2025-04-20 20:48:59
Jamming [Swahili translation]

ohh yeah

tuna jammin

nataka jammin na we

tuna jammin

natumainini una penda jammin pia

hakuna sheria hakuna wenge

tuta fanikisha tuu

mwenyezi atatuwezesha tuu

maana kila siku tuna sota

si ndio ushahidi wa ziki

jammin hadi mwisho kabisa

tuna jammin

sizani kua jammin ni mapito ya zamani

tuna jammin

naomba safari hii idumu

hakuna risasi itaweza kutuzuia

hatu ombiombi wala kugiga goti

hatu wezi nunuliwa wala uzwa

si sote tuna tetea haki

watoto wamungu wa ungane

maisha ni bora kuliko thahabu

tuna jammin

na tuna jammin kwa jina la bwana

tuna jamin jamin jamin

tuna jamin moja kwa moja toka kwa lione

tuna imba mlima sayuni mtakatifu mlima sayuni mtakatifu

jah ana kaa mlima sayuni na ni mfalme wa dunia

tuna jammin ,BOB CHUWA WA WA

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Bob Marley & The Wailers
  • country:Jamaica
  • Languages:English, English (Jamaican)
  • Genre:Reggae, Ska
  • Official site:http://www.bobmarley.com
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Bob_Marley
Bob Marley & The Wailers
Bob Marley & The Wailers Featuring Lyrics
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved