Ayolizer!
[Diamond Platnumz]
Kukudekeza kama mtoto, furaha unafurahia
Alafu geuka moto, machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize, afukuzishe mwarabu
Penzi oyoyo, limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni, naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda achana naye
Anayekupenda pendana naye
Mambo stress ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea
Asa inama
Ebu pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo)
Oya inama (inama beiby)
Basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
Asa inama (inama beiby)
Ebu pinda mgongo (kama tungi limepoza)
Oya inama basi pinda mgongo
[Fally Ipupa]
Toujours l'amour ebandaka na esengo
Ba bisous, ba câlins, ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente
Soucis eleka wapi, chérie na ngai azaliyee
Tango nyonso olobelaka nga je t'aime
Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe te!
Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe te!
Chérie na nga aza kitoko
Bebé na nga aza elengi trop
Bebé na nga aza kitoko
Bebé na nga aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué
Mais chérie à moi est toujours romantique
Asa inama
Ebu pinda mgongo (nakupenda mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo
Bébé na ngai eh
Asa inama
Na lela oh ohohoh
Ebu pinda mgongo (ooh mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo
Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno ukifanye pedeli
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah nyonga, na kupinda mgongo
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare (analilili)
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare (yuko bwi)
Analishare lishare (silali)
Analishare lishare (oooh)
Yeah, Samuel Etoo
Didier Drogba (Wasafi)
Fally Ipupa, Tokooosss
Tozali kolo, bakokoka té (ko-ko-kate)