current location : Lyricf.com
/
Songs
/
In Da Club [Swahili translation]
In Da Club [Swahili translation]
turnover timeļ¼š2024-10-05 07:09:18
In Da Club [Swahili translation]

Uende, uende, uende, uende

Uende, uende, uende, fupi*

Ni siku yake ya kuzaliwa

Tutafanya sherehe kama ni siku yake ya kuzaliwa

Tutanywa Bacardi kama ni siku yake ya kuzaliwa

Na unajua kwamba hatutoi fuck

Si siku yake ya kuzaliwa!

Unaweza kuniona kwenye klabu, chupa chenye shampeni

One, mama, nina X** kama unapenda kunywa dawa

Napenda kulalana, sipendi "kufanya pendo"

Kwa hiyo uje na unimbatie kama unapenda kufikichwa

Ninapofika mbele, unaona Benz na "dubs"***

Ninapobingirika na watu ishirini, ni "tisa"**** ishirini kwenye klabu

N*gga walisikia kwamba mimi hukutana na Dre, sasa wanataka wanionyeshe pendo

Unapouza kama Eminem, wanawake wanapenda kulalana

Lakini rafiki, hakuna kitu kinachobadili. Wanawaki chini, marafiki juu.

Naona Xzibit katika tundu, n*gga, bingirishe bangi hiyo.

Kama unaona ninavyohamia, utanikosea kwa mchezaji au mbweha.

Nilipigwa risasi, lakini sichechemee.

Nipo ujirani na wanawake wanasama "50, wewe ni mzuri"

Wananipenda, nataka wanipende kama wanapenda Tupac.

Lakini kama uzungumze katika New York, n*gga watakusema kwamba mimi ni mjinga.

Na wazo langu ni kudhibiti mchezo wa rap

Najisikia na fokasi, rafiki, nazingatia pesa

Nilipata dola milioni kutoka mpango na hata bado nafanya kazi.

Sasa fupi* anasema kwamba anapenda ufahari wangu, anapenda mtiririko wangu

Rafiki wa kike wake anapenda kuwa jinsi mbili na wao wapo tayari kwa kwenda

Mtiririko wangu, maonyesho yangu yalinipata pesa

Pesa ilininunua vitu vyangu vya tajiri

Nyumba yangu, magari yangu, na vyombo vyangu

One, n*gga, nilikuja juu na sikubadili

Na unapaswa kuipenda, zaidi kuliko unayoichukia.

N*gga, una hasira? Nilifikiri kwamba ungefurahi kwa sababu nilitajirika.

Mimi ni paka***** karibu na baa anayepongeza maisha mazuri

Wewe ni n*gga kama fagot aliyejaribu kunirudishe nyuma, ni sawa?

Muziki yangu inapochezwa katika club, vitu vinafanyika

Napepesa mwanamke, angetabasamu, ataenda nami

Kama paa anawaka, acha ichome

Kama unazungumza kuhusu pesa, rafiki, sina wasiwasi

Nitakuambia alichoniambia Banks, binamu, badilishe ufahari wako

Kama n*gga wanachukia, waache kuchukia

Angalie pesa zinazorundikana

Au twende hapo na chupa cha shampeni

Unajua sana sisi hupo

Usijaribu kutenda kana kwamba hujue sisi hupo, n*gga

Tupo kwenye klabu kila wakati, n*gga, itazibua karibuni, n*gga

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by