current location : Lyricf.com
/
Songs
/
I Am The God That Healeth Thee [Swahili translation]
I Am The God That Healeth Thee [Swahili translation]
turnover time:2024-12-02 11:01:15
I Am The God That Healeth Thee [Swahili translation]

Mimi ni Mungu nikuponyaye,

Mimi ni Bwana mponyaji wako,

Hulituma Neno langu,

Na kukuponya magonjwa yako,

Mimi ni Bwana mponyaji wako.

Wewe ni Mungu,

Uniponyaye,

Wewe ni Bwana Mponyaji wangu,

Hulituma Neno lako,

Na kuniponya magonjwa yangu,

Wewe ni Bwana mponyaji wangu.

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Don Moen
  • country:United States
  • Languages:English
  • Genre:Religious
  • Official site:http://www.myspace.com/donmoen
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Don_moen
Don Moen
Don Moen Featuring Lyrics
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved