current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Bésame mucho [Swahili translation]
Bésame mucho [Swahili translation]
turnover time:2025-01-26 13:32:14
Bésame mucho [Swahili translation]

Nibusu, Nibusu sana

Ni kama leo jioni

itakuwa ya mwisho

Nibusu, Nibusu sana

Nina wasiwasi wa kukukupata na

Na kukupoteza tena.

Nibusu, Nibusu sana

Ni kama leo jioni

itakuwa ya mwisho

Nibusu, Nibusu sana

Nina wasi wa kukukupata na

Na kukupoteza tena.

Jongea karibu nami

Nijijone machoni mwako

Nikuone kando yango

Nahisi pengine kesho nitakuwa

Mbali na wewe

Nibusu, Nibusu sana

Ni kama leo jioni

itakuwa ya mwisho

Nibusu, Nibusu sana

Nina wasi wa kukukupata na

Na kukupoteza tena.

Jongea karibu nami

Nijijone machoni mwako

Nikuone kando yango

Nahisi pengine kesho nitakuwa

Mbali na wewe

Nibusu, Nibusu sana

Ni kama leo jioni

itakuwa ya mwisho

Nibusu, Nibusu sana

Nina wasi wa kukukupata na

Na kukupoteza tena.

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Cesária Évora
  • country:Cape Verde
  • Languages:Cape Verdean, Spanish, Portuguese
  • Genre:Singer-songwriter
  • Official site:http://www.cesaria-evora.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Ces%C3%A1ria_%C3%89vora
Cesária Évora
Latest update
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved