kuanza leo
kuangalia yako ni reflekshioni yangu
reflekshioni ya ndoto zangu
niki ota ni kama kueka mdomo yako kwa yangu
ina kuwa na kupenda
na penda sauti yako
kuanza leo
uma changanya vile na skiya
na skiya kila saa
saa ina potea
niki kuwa na wewe upendo yangu
mimi na wewe peke
hakuna zaidi
ku kuwa na wewe
kwasababu umeni patia upendo yako
kwasababu uko na kila kitu ya mimi
kwa hii moyo na kupea leo
ma siri yangu, hatima yangu na ndoto zangu
kila mahali, kila kona
wazimu yangu na saba yangu
kuanza leo nya kuambia na kupenda
kwasabu sii wezi kuiishi bila wewe kwasabau na kutakau ni
kila kitu ni yako upendo yangu
kila kitu ya mimi, kuanza leo
kuanza leo
wewe moyo yako ina dunda na yangu
akili yangu yote
na jua niko na wewe
hakuna mtu hapa
mimi na wewe peke
hakuna zaidi
ku kuwa na wewe
kwasababu umeni patia upendo yako
kwasababu uko na kila kitu ya mimi
kwa hii moyo na kupea leo
ma siri yangu, hatima yangu na ndoto zangu
kila mahali, kila kona
wazimu yangu na saba yangu
kuanza leo nya kuambia na kupenda
kwasabu sii wezi kuiishi bila wewe kwasabau na kutakau ni
kila kitu ni yako upendo yangu
kila kitu ya mimi, kuanza leo
marudio yako ili kuwa watu wanna pendana sana
tuna taka makosa, fadhila na kofu
tuna pendaana hata kamwa tuna sumbuliwa na watu
kwa hii moyo na kupea leo
ma siri yangu, hatima yangu na ndoto zangu
kila mahali, kila kona
wazimu yangu na saba yangu
kuanza leo nya kuambia na kupenda
kwasabu sii wezi kuiishi bila wewe kwasabau na kutakau ni
kila kitu ni yako upendo yangu
kila kitu ya mimi, kuanza leo