current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Pilipili lyrics
Pilipili lyrics
turnover time:2024-12-24 00:34:38
Pilipili lyrics

Willy Willy, Willy Pozee

Harmonize na Willy Pozee

Teddy B (aieeh)

Wasafi!

"Pesa sio kila kitu"

Alinifunza mama, eeh

"Heshima ndio kila kitu"

Walishasema wahenga, eeh

Ukifuata magari

Utapotea baby we

Ukifuata mapeni

Utapotea

Mbona, nikuite malaika

Na tabia zako, haziambatani

Mbona nikuite mama yao

Na watoto wako umewatupa

Mbona nikuite chocolate

Ya divine flavour kumbe we shubiri

We pilipili we (ololo), unaniumiza moyo (ololo)

We pilipili we (ololo), unaniumiza moyo (ololo)

We pilipili, pilipili, pilipili wewe (ololo, ololo)

Pilipili, pilipili, pilipili wewe (ololo, ololo)

[Harmonize]

Tupige goti tusali, tufanye dua eeh

Kwetu afadhali, wenzetu wanaugua eeh

Uh, tukipata siri letu, hata tukikosoa eeh

Wasije vunja penzi letu, wakupe vero

Kama nikikuudhi nisamehe (haya)

Penzi letu liendelee (haya)

Usije anzisha tafarani, kisa sina kitu

Uwape mwanya kina fulani, wako ufungue zipu

Pilipili!

Uwe pilipili we (ololo), unaniumiza moyo (ololo)

Utaniumiza mama

Uwe pilipili we (ololo), unaniumiza moyo (ololo)

Nakupenda sana

Ue pilipili, pilipili, pilipili wewe (ololo, ololo)

Utaratibu ma

Pilipili, pilipili, pilipili wewe (ololo, ololo)

Utaratibu ma

Mke wangu leo sina (tulia)

Kesho nitampata eeh (tulia)

Kwa uwezao wa Muumba (tulia)

Najua nitampa... eh!

My heartbeat eeh (ololo), aay (ololo) aay (ololo)

My chocolate eeh (ololo) nikama kitabu nifiche

My heartbeat eeh (ololo), aay (ololo) aay (ololo)

My chocolate eeh (ololo), aay (ololo)

Unatamani sana sura kung'ara kama Shusho

Twakufanya ung'are

Unatamani vazi ikae ni kama namba nane

Twakufanya ung'are

Usije cheza na moyo wangu mama (tulia)

Utaniumiza mama (tulia)

My mamama mama

Nakupenda sana!

I swear I love you

Utaratibu mama

Utaratibu mama

Utaratibu mama

Ololo ololo ololo

Ololo ololo ololo

Ololo ololo ololo

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Willy Paul
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Official site:https://www.facebook.com/willy.paulmsafi.9/
  • Wiki:https://en.m.wikipedia.org/wiki/Willy_Paul
Willy Paul
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved