current location : Lyricf.com
/
/
Mwanza lyrics
Mwanza lyrics
turnover time:2024-06-30 11:34:55
Mwanza lyrics

Vanny Boy

Ehh Vanny boy

Ehe, they are not ready for this

Eeh nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Hmmm nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Eeh nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Hmmm nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

[Diamond Platnumz]

Oya wind your waist, njoo nipatie Commando

Nikupe cha mkwesi, kwa miuno ya taekwondo

Asa chekele

Mwendo wa kandanda, ndani ya makwanda

Sa nisongeze

Leta msambwanda, nikazie ngangangaaa (chiii!)

Kananivuta ghetto

Nkapinge bunduki (High bunduki)

Ile naogopa central

Michezo ya Amber Rutty (Amber Rutty)

Eeh nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Hmmm nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Eeh nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Hmmm nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Yaani kama mjaluo, shepu ya Mombasa

Hapendagi mpasuo, hata akishinda basata

Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro)

Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (Ndombolo)

Shaku shaku ya masai (oooh masai)

Kama kama nachuma papai (oooh papai)

Funika funua (twendee)

Bandika bandua (twendee)

Anika anua (twendee)

Kanipa chukua (twendee)

Eeh nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Hmmm nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Eeh nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Hmmm nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Oya fiti kalikiti ti

katoto hakashikiki

kwenye bilingiti ti

Huvunjaja na kiti (oya!)

Oooh sa iweke

Ah iweke iweke, ah iweke

Ipitishe kwa chini

Ah iweke iweke, ah iweke

Miendo ya kazi kazini

Ah iweke iweke, ah iweke

Hii ile ndindindii

Ah iweke iweke, ah iweke

Ngoja shake it ivoo

Ah iweke iweke, ah iweke

Twende shaku kidogo

Ah iweke iweke, ah iweke

Chuma magimbimbi

Ah iweke iweke, ah iweke

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Rayvanny
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English, English (Nigerian Pidgin), Other, Portuguese
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Rayvanny
Rayvanny
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved