current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Mubashara lyrics
Mubashara lyrics
turnover time:2024-12-28 00:38:17
Mubashara lyrics

Oooh oooh

(Sawa)

Hisia kama mikuki zanichoma

Ndo maana kila time nakuwaza wewe

Kwa mahaba nayopata nahisi mpaka homa

Sichoki me kukesha nawe

Love more, love more

Love more iyeee

Wapambe waache waongee

Usiku watalala

Na waambie wenye wivu

maneno yasizidi mpaka

Mmmh mapenzi mubashara

Mapenzi mubashara

Zidisha leo zaidi ya jana

(Zidisha leo zaidi ya jana)

Mapenzi mubashara

Mapenzi mubashara

Nikomeshe leo nisipate la kusema

(La kusema aaah...)

Niroge kwa limbwata mpaka nipagawe

Ila tu nisiokote makopo

Zidisha kipimo unachokiona wewe

Kwako me ni kama mtoto

Mama, toa jiko nje nipikee

Aaah nikimaliza vyombo nioshe

Tena sogeza kichwa nywele nikusukee (beiby)

Na tukimaliza twende bafu nikakuogeshee

Mmmh mapenzi mubashara

Mapenzi mubashara

Zidisha leo zaidi ya jana

(Zidisha leo zaidi ya jana)

Mapenzi mubashara

Mapenzi mubashara

Nikomeshe leo nisipate la kusema

(Nikomeshe leo nisipate la kusemala kusema aaah)

Aaah nipate la kusema, mimi iyeee

Nipate la kusema, beiby

Na mapenzi mubashara

(Nipate la kusema)

Mapenzi mubashara

(Nami nipate la kusema)

Single Forever Classic

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Abdukiba
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:Folk
Abdukiba
Abdukiba Featuring Lyrics
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved