current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Ndani Ya! lyrics
Ndani Ya! lyrics
turnover time:2024-12-28 02:04:23
Ndani Ya! lyrics

EMB Records

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko

Nikoo na nia, nasita tania

Maisha full mzuka vile nilidhania (ah)

Nalabata ongezea ndania

We amini kweli yesu ndio njia

Nikona kristo wazito

Huyu Yesu mwanzo mwisho

Na Kristo wazito

Muulize DJ mzito

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko tuko

Bomba, Christ ndio bomba

Anafanya roho yangu inadunda

Sasa wewe chana na dumba

Jua asante ya dunia, ndio teke ya punda

Hey madam wacha story Christ anakam

Ebu okoka salvation ni tam

Ali dedi mambo ikawa done

It’s over, we are done!

Bomba, Christ ndio bomba

Anafanya roho yangu inadunda

Sasa wewe chana na dumba

Jua asante ya dunia, ndio teke ya punda

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko tuko

Nikona kristo wazito

Huyu Yesu mwanzo mwisho

Na Kristo wazito

Muulize DJ mzito

Bomba, Christ ndio bomba

Anafanya roho yangu inadunda

Sasa wewe chana na dumba

Jua asante ya dunia, ndio teke ya punda

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko tuko

Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya

Tuko tuko tuko tuko

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Bahati
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
Bahati
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved