Yeye hakutaka pesa alitaka furaha
Nami nikampatia
Kwa yale madeko mtoto akaja
Kusah nitakusalia
Unapokwenda nami nipo
Nimekubali yapitishwe maandiko
Imani yangu kwako ipo
Mimi nawe kitutenganishe kifo
Acha wa vijora wapambe (Ayee)
Baby acha watuchambe (Ayee)
Wa kutunang'a watunang'e (Ayee)
Penzi letu tulipambe (Ayee)
We ndo mama lao, mama lao
We ndo mama lao, mama lao
Mwenzenu kanipenda
Na moyoni nina pete
Kasema niwe naye kayachoka maseke
Kachoka yale mangumi na kupigwa mateke
Kasema ye hawezi kaukata utepe
Akanikaba shingo umemkaba roho
Ni penzi la kishindo la kikomando
Akikaa ukikisima twaijaza ndoo
Halloo, loo loo loo
Acha wa vijora wapambe (Ayee)
Baby acha watuchambe (Ayee)
Wa kutunang'a watunang'e (Ayee)
Penzi letu tulipambe (Ayee)
We ndo mama lao, mama lao
We ndo mama lao, mama lao
Achana nao!
We ndo mama lao, mama lao
We ndo mama lao, mama lao