current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Mapopo lyrics
Mapopo lyrics
turnover time:2024-12-29 11:43:22
Mapopo lyrics

Its S2kizzy beiby

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Napenda ukinichombeza, dekeza

Acha nijisifie

Ooh penzi lako koleza,ongeza

Utamu nisikie(heehe)

Tunapendana me na we

Visa visa vina tu owe

Mapenzi ya ki China paranawe

Mwenzako me sina kolo

Hallo hallo, sina kwaro kwaro

Badgal me to a shadow shadow

I say hallo, hallo miss Caro Caro

Me nimwage mpunga mcharo mcharo

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Kuna vichungu na vitamu

Kwenye mapenzi ya kwanza uwe na nidhamu (ooh)

Kila kilamba chumvi tamu

Twende maximum mama sio minimum (yeah boy)

Naskia uzuri wa nyumba choo (yeah yeah)

Nitakujengea mpako bungalow (yeah yeah)

Kama mchungwa weka kalingoo (yeah yeah)

Targeti ni mpenzi than you never know

Unanichanganya kadada

Kutwa nakuwaza kadada

Kwa mapenzi yako kadada

Unanifanya nionekane bora kadada (ayiii)

Hallo hallo, sina kwaro kwaro (bang bang)

Badgal me to a shadow shadow (ayiii)

I say hallo, hallo miss Caro Caro

Me nimwage mpunga mcharo mcharo

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Mapopo, mapopo

Laizer on the mix

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Lulu Diva
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
Lulu Diva
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved