current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Fanya lyrics
Fanya lyrics
turnover time:2024-06-23 16:15:02
Fanya lyrics

Rapapapapampapapampapam!

Ayagayaw!

Willy Paul Willy Poze

Willy Paul Willy Poze

Willy Paul Willy Poze Rrrraaaa!

Mabinti walinichanganya, Cha!

Nairobi mpaka Mombasa, Cha!

Kayole mpaka Dandora, Cha!

Mathare mpaka Huruma, Cha!

Ghetto mpaka Tribeka, ni kweli mimi awillie

Nilikuanga mzirire, walinitesa mabintire

hivi leo nimerudi-ee.aii. kwa mwenyeziree anisamehe

Jalali nimekumissi sanaa,

kukupenda ndio nataka kufanya

fafa fanya fafa fanya

fafa fanya fafa fanya

fafa fanya fafa fanya

fafa fanya fafa fanya

Wollitup mic check one, two, si mnafahamu yule Daudi-re

alitenda madhambi eeh, lakini mungu ee alimpenda eeh

tunajua huyu Daudi-ee alikwendaa-re akapotea

leo leo narudi kwa papa X2

nikikweli eeh mimi awille, nilikuanga

Ni kweli mimi ah willie

Nilikuanga mziririe,

walinitisha mabintire

hivi leo nimerudi-ee

kwa mwenyezi-ree anisamehe

Jalali nakumiss sanaa,

kukupenda ndio nataka kufanya

fafa fanya fafa fanya

fafa fanya fafa yanya

fafa fanya fafa fanya

fafa fanya fafa fanya

mhh kamata chini, na na na na

juu kwa juu na na na na na

siku za mwisho zimewadia

wangapi watarudi na me today... kwake Babaa

Oh Halleluyah

Oh Halleluyah

Oh Halleluyah

Oh Halleluyah

Oh Halleluyah

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Willy Paul
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Official site:https://www.facebook.com/willy.paulmsafi.9/
  • Wiki:https://en.m.wikipedia.org/wiki/Willy_Paul
Willy Paul
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved